johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kulala ni kufa bwasheeHivi john huwa unalala saa ngapi? Muda wote unafuatilia luninga na kupost jf.😂
Asante tuko tunafuatilia, na leo nimeenda Kenya straight bila kuanzia Tanzania nisije kutana tena na "jicho ona" nikakwama kama jana.Kumekucha tena.
Kesi imeshaanza kusikilizwa ambapo Raila Odinga anapinga ushindi wa Dr. Ruto.
Mubashara Citizen tv.
cc: Wakili Pascal Mayalla
Usinichekeshe Championship, eti muda wote anafuatilia ha ha haa! Labda kutazama sura za walioko mahakamani! Hilo analimudu sana tu!Hivi john huwa unalala saa ngapi? Muda wote unafuatilia luninga na kupost jf.😂
Hawatanii, wanatenda wanachosema! Hawahubiri nchi yao ni ya kidemokrasia huku demokrasia imetupwa lupango, hapana, demokrasia ipo huru inatamba.Kenya imekwiva kidemokrasia jameniii!! Makofi mengi Sana kwao
Raha jipe mwenyewe usimsubiri Freeman akuletee asali hapo Ufipa stUsinichekeshe Championship, eti muda wote anafuatilia ha ha haa! Labda kutazama sura za walioko mahakamani! Hilo analimudu sana tu!
Nipo hapa kifuatilia na mimi
Mkuu Ngongo , kwanza asante kwa kunitambua kama wakili msomi, mimi naomba kujitambulisha rasmi kuwa mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.Wakili Msomi Pascal Mayalla tunaomba mrejesho wa kisomi na utofauti baina ya Mahakama zetu sisi na jirani.
Nakubaliana na wewe kwa 100%Mkuu Ngongo , kwanza asante kwa kunitambua kama wakili msomi, mimi naomba kujitambulisha rasmi kuwa mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.
Hakuna tofauti yoyote kati ya mahakama zetu na hizi za wenzetu, tofauti ni wanasheria wetu na wenzetu ni kama mbingu na nchi!.
Moja ya pillars za EAC Integration yaani Mtangamano wa nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki, ni free movement of labor ambapo raia yoyote wa Africa Mashariki yuko free kufanya kazi nchi yoyote bila restrictions zozote, hakuna tena hitaji la work permit kwa raia wa Africa Mashariki, hivyo Wakenya watalamba kazi zote za maana na mawakili wa Kenya ndio watashika hii free movement of labor ikianza.
P
Wakili Msomi Pascal Mayalla tunaomba mrejesho wa kisomi na utofauti baina ya Mahakama zetu sisi na jirani.
Mkuu Ngongo , kwanza asante kwa kunitambua kama wakili msomi, mimi naomba kujitambulisha rasmi kuwa mimi sio wakili msomi, mimi ni wakili mtangazaji.