Asante kwa mchango wako.Wanajeshi. Hii ni kwasababu huheshimika sana kitaani, na hata nyumba zao huitwa kwa mjeshi... hata akiwa ni mstaafu.
Hii hutokana pia kuwa vijana wengi huona fahari kuwa wanajeshi( haihusiani na maslahi kiuchumi).
NCO hao, CO sijakutana nao wa hivyo.wanajeshi.
atahangaika ahakikishe mmejua.
mbaya zaidi anawezakuwa kikazi yuko mkoani sehemu mlipo ni kwao,hakawii kutimba na uniforms.
Wanajeshi na manesi ππKuna Baadhi ya Kazi Mtu akifanya ususani Tanzania mtaa mzima mtajua Fulani anafanya kazi Fulani kwanza wanapenda sifa. Je, kwa mtaani kwako unakoishi ni watu wa kazi gani huwa wanapenda sifa Mbele za watu.
Je, unatumia Njia gani kuwaepuka watu wanaopenda sifa.