Wapenda sifa

Wapenda sifa

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
589
Reaction score
1,897
Kuna Baadhi ya Kazi Mtu akifanya ususani Tanzania mtaa mzima mtajua Fulani anafanya kazi Fulani kwanza wanapenda sifa. Je, kwa mtaani kwako unakoishi ni watu wa kazi gani huwa wanapenda sifa Mbele za watu.

Je, unatumia Njia gani kuwaepuka watu wanaopenda sifa.
 
Wanajeshi. Hii ni kwasababu huheshimika sana kitaani, na hata nyumba zao huitwa kwa mjeshi... hata akiwa ni mstaafu.

Hii hutokana pia kuwa vijana wengi huona fahari kuwa wanajeshi( haihusiani na maslahi kiuchumi).
 
wanajeshi.

atahangaika ahakikishe mmejua.
mbaya zaidi anawezakuwa kikazi yuko mkoani sehemu mlipo ni kwao,hakawii kutimba na uniforms.
Asante. Kwa mchango wakoo.
 
Wanajeshi. Hii ni kwasababu huheshimika sana kitaani, na hata nyumba zao huitwa kwa mjeshi... hata akiwa ni mstaafu.
Hii hutokana pia kuwa vijana wengi huona fahari kuwa wanajeshi( haihusiani na maslahi kiuchumi).
Asante kwa mchango wako.
 
Usalama wa taifa hawa funga kazi...
Wanapenda kuogopewa then unaweza kuna ni mlizi tu getini.
 
Wafanyakazi wa Tigo Tz
Wafanyakazi wa taasisi za kifedha kama CRDB & NMB
Wafanyakazi wa cargo eq silent ocean & Kilimanjaro star cargo
Wanajeshi
Manesi
Makondakta
Makatibu wa CCM

Hata Sijui nlitaka kuandika nn🤔🤔🤔
 
Kuna Baadhi ya Kazi Mtu akifanya ususani Tanzania mtaa mzima mtajua Fulani anafanya kazi Fulani kwanza wanapenda sifa. Je, kwa mtaani kwako unakoishi ni watu wa kazi gani huwa wanapenda sifa Mbele za watu.

Je, unatumia Njia gani kuwaepuka watu wanaopenda sifa.
Wanajeshi na manesi 🙆🙆
 
Mafundi gereji ''Makenika'' yaani hawa wengi wao hata kama ni siku ya sikukuu ni lazima atavaa nguo iliyochafuka na inayonuka oil na yale ma safety buti yao.
 
Back
Top Bottom