Wapenda soka mna maoni katika suala la Tamasha la Fiesta viwanjani...!

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
333.jpg

Chama cha Soka Mkoa wa Mara kimeilalamikia CCM kwa kuruhusu tamasha la muziki (Fiesta) kufanyika katika Uwanja wa Karume na hivyo kuharibu eneo la kuchezea mpira. Chama hicho kimesema kilitumia TZS milioni 70 kukarabati uwanja huo unaotumiwa na Biashara United
 
Watanzania acheni fitna mtaendelea....
View attachment 916005

Nasikia hata huko kwenye uwanja wa Wembley England hali ilikuwa hivyo hivyo...nasikia mechi ya Man City na Totenham uwanja haukuwa mzuri sijui kulikuwa na shughuli gani hapo Wembley kabla ya mechi
 
Chama cha Soka kilikarabati uwanja wa CCM au Mimi sielewi?
 
lNDIO, CHAMA CHA SOKA KILIKARABATI NA HUU NDIO UTARATIBU AMBAPO CHAMA CHA SOKA KINAUKODI KISHA KINAUKARABATI HIVYO KINAKUWA NA HATI MILKI YA MSIMU MZIMA WA LIGI HIVYO MAPATO YOTE HUWA YA CHAMA CHA SOKA. MFANO MECHI YA SIMBA NA YANGA SIMBA NDIO ILICHUKUA MAPATO.
 
hii fiesta haitakiwi kuwekwa kwenye viwanja vya mpira kwa sababu wanaharibu pitch ya kuchezea halafu utakuta mechi nyingine za ligi zinahairishwa sababu ya fiesta
 
Nasikia hata huko kwenye uwanja wa Wembley England hali ilikuwa hivyo hivyo...nasikia mechi ya Man City na Totenham uwanja haukuwa mzuri sijui kulikuwa na shughuli gani hapo Wembley kabla ya mechi
walichezea yale mamipira ya kukimbizana Rugby, wakachora chora alama zao ambazo hazikufutika mpaka siku ya mechi ya man city bado zilikuwa zinaonekana uwanja ulikuwa wa hovyo sana
 
Kama pitch mbovo mbovu tu.. mbona Mikoa yote wamepita na hakuna malalamiko..

Mfano mzuri Iringa uwanja wa Samora Fiesta ilipita, sehem ya kuchezea walizungushia fance kulikobaki ndio wakafanya Tamasha... Na hakuna uharibifu wowote ulee.. Acheni fitna
 
ok
 
Nasikia hata huko kwenye uwanja wa Wembley England hali ilikuwa hivyo hivyo...nasikia mechi ya Man City na Totenham uwanja haukuwa mzuri sijui kulikuwa na shughuli gani hapo Wembley kabla ya mechi
Rugby ss si wajenge cha kwao
 
hii fiesta haitakiwi kuwekwa kwenye viwanja vya mpira kwa sababu wanaharibu pitch ya kuchezea halafu utakuta mechi nyingine za ligi zinahairishwa sababu ya fiesta
Kweli mchawi sio lazima tunguli..khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama pitch mbovo mbovu tu.. mbona Mikoa yote wamepita na hakuna malalamiko..

Mfano mzuri Iringa uwanja wa Samora Fiesta ilipita, sehem ya kuchezea walizungushia fance kulikobaki ndio wakafanya Tamasha... Na hakuna uharibifu wowote ulee.. Acheni fitna
Mkuu wanga wameamua kuwanga mchana kweupeeee.
Wameona wakisubir giza watachelewa, kuna watu wanafitini zakipumbavu sana.
 
hii fiesta haitakiwi kuwekwa kwenye viwanja vya mpira kwa sababu wanaharibu pitch ya kuchezea halafu utakuta mechi nyingine za ligi zinahairishwa sababu ya fiesta
Ndio nasikia kwako kwamba kuna game ziliahirishwa kisa fiesta
Unaweza kutupa mfano mkuu
Na kama ni kweli basi kuna tatizo mahali
 
Back
Top Bottom