Wapenda soka mna maoni katika suala la Tamasha la Fiesta viwanjani...!

Wapenda soka mna maoni katika suala la Tamasha la Fiesta viwanjani...!

Nitafatilia je ligi ambayo imeshapita?
We weka mifano hai hapa kutete hoja yako, kinyume na hapo we utakua muongo
Nina uhakika na ninachokisema sasa kama huwezi kufatilia kilichopita sio tatizo language ama ni uwezo wako Mdogo Wa kutunza kumbukumbu au inashabikia vitu kwa kufata mkumba ccm kirumba waliailisha mechi sababu ya fiesta nimesha kusaidia hata hao walioanzisha fiesta hawakufanyia kwenye viwanja vya mpira
 
Back
Top Bottom