View attachment 916005
Chama cha Soka Mkoa wa Mara kimeilalamikia CCM kwa kuruhusu tamasha la muziki (Fiesta) kufanyika katika Uwanja wa Karume na hivyo kuharibu eneo la kuchezea mpira. Chama hicho kimesema kilitumia TZS milioni 70 kukarabati uwanja huo unaotumiwa na Biashara United

lNDIO, CHAMA CHA SOKA KILIKARABATI NA HUU NDIO UTARATIBU AMBAPO CHAMA CHA SOKA KINAUKODI KISHA KINAUKARABATI HIVYO KINAKUWA NA HATI MILKI YA MSIMU MZIMA WA LIGI HIVYO MAPATO YOTE HUWA YA CHAMA CHA SOKA. MFANO MECHI YA SIMBA NA YANGA SIMBA NDIO ILICHUKUA MAPATO.Chama cha Soka kilikarabati uwanja wa CCM au Mimi sielewi?
walichezea yale mamipira ya kukimbizana Rugby, wakachora chora alama zao ambazo hazikufutika mpaka siku ya mechi ya man city bado zilikuwa zinaonekana uwanja ulikuwa wa hovyo sanaNasikia hata huko kwenye uwanja wa Wembley England hali ilikuwa hivyo hivyo...nasikia mechi ya Man City na Totenham uwanja haukuwa mzuri sijui kulikuwa na shughuli gani hapo Wembley kabla ya mechi
Kama wamekodi hakuna shidaView attachment 916005
Chama cha Soka Mkoa wa Mara kimeilalamikia CCM kwa kuruhusu tamasha la muziki (Fiesta) kufanyika katika Uwanja wa Karume na hivyo kuharibu eneo la kuchezea mpira. Chama hicho kimesema kilitumia TZS milioni 70 kukarabati uwanja huo unaotumiwa na Biashara United
okKama pitch mbovo mbovu tu.. mbona Mikoa yote wamepita na hakuna malalamiko..
Mfano mzuri Iringa uwanja wa Samora Fiesta ilipita, sehem ya kuchezea walizungushia fance kulikobaki ndio wakafanya Tamasha... Na hakuna uharibifu wowote ulee.. Acheni fitna
Rugby ss si wajenge cha kwaoNasikia hata huko kwenye uwanja wa Wembley England hali ilikuwa hivyo hivyo...nasikia mechi ya Man City na Totenham uwanja haukuwa mzuri sijui kulikuwa na shughuli gani hapo Wembley kabla ya mechi
Si vilabu vijenge viwanja vyaohii fiesta haitakiwi kuwekwa kwenye viwanja vya mpira kwa sababu wanaharibu pitch ya kuchezea halafu utakuta mechi nyingine za ligi zinahairishwa sababu ya fiesta
Kweli mchawi sio lazima tunguli..khaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii fiesta haitakiwi kuwekwa kwenye viwanja vya mpira kwa sababu wanaharibu pitch ya kuchezea halafu utakuta mechi nyingine za ligi zinahairishwa sababu ya fiesta
Mkuu wanga wameamua kuwanga mchana kweupeeee.Kama pitch mbovo mbovu tu.. mbona Mikoa yote wamepita na hakuna malalamiko..
Mfano mzuri Iringa uwanja wa Samora Fiesta ilipita, sehem ya kuchezea walizungushia fance kulikobaki ndio wakafanya Tamasha... Na hakuna uharibifu wowote ulee.. Acheni fitna
Ndio nasikia kwako kwamba kuna game ziliahirishwa kisa fiestahii fiesta haitakiwi kuwekwa kwenye viwanja vya mpira kwa sababu wanaharibu pitch ya kuchezea halafu utakuta mechi nyingine za ligi zinahairishwa sababu ya fiesta