Nina uhakika na ninachokisema sasa kama huwezi kufatilia kilichopita sio tatizo language ama ni uwezo wako Mdogo Wa kutunza kumbukumbu au inashabikia vitu kwa kufata mkumba ccm kirumba waliailisha mechi sababu ya fiesta nimesha kusaidia hata hao walioanzisha fiesta hawakufanyia kwenye viwanja vya mpira