political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Ni Lini tbc wakawa na quality nzuri? tuacheni gubu watanzania.Wapenda Soka wote salaam.
Hivi hawa TBC mnawaelewa Ndugu zangu?.
Mbona ubora wa hii mechi wanayo onyesha upo Chini sana.
Kama ubora wa picha upo hivi basi hadi Kombe la Dunia liishe tutakuwa na Malienge.
Very poor quality of picture.
Soon utasikia Wanakatisha matangazo ili kujiunga na wenzao walioko ChamwinoWapenda Soka wote salaam.
Hivi hawa TBC mnawaelewa Ndugu zangu?.
Mbona ubora wa hii mechi wanayo onyesha upo Chini sana.
Kama ubora wa picha upo hivi basi hadi Kombe la Dunia liishe tutakuwa na Malienge.
Very poor quality of picture.
wamecrop picha.. transmission ya content inaruka kwenye kiwango cha 720p unategemea nini hapo kama si kufinya macho kama mzeee wa miaka 90Wapenda Soka wote salaam.