Wapenda ubwabwa mnaitwa huku

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Reactions: BAK
😂😂😂😂 sijaona akitangaza kampeni zake ziko wapi na sijawahi kuona hata picha moja ya kwenye kampeni zake watu wakijilia ubwabwa.

Anafungua lini kampein zake na wapi ?Niandae tumbo lililo tupu kabisa.
 
Is this man serious?

I beleave 85% ya watz anaweza kuwateka akili na wakampa kura. More 85% ya vijana hawapati nafasi ya kuendelea ktk masomo ya juu. Unategemea kama sio kuwatengeza na kuwa na akili hizo. Muhimu kuchukua nchi. Ukitumia maarifa makubwa ktk ajenda zako naamini hutopata kura
 
sijakuelewa, yaani kwamba ukisema utawapa ubwabwa waamini wakupe kura?
 
Muda utaongea uhai ukiwepo. Ukweli % kuwa ya watz vijana ndio uwezo wa kufikiri unaishia kwenye vijimambo hayo, kama vile wazee wanashawishika kwa khanga, T-shirt na kifoa. Usije ona ajabu mh rungwe yumo 3 bora
sasa nawewe unaamini hashimu ndo Yuko serious...!??? Yule mzee Yuko smart Sana..anajua hawez kuchukua nchi...anapenda makuzi na utani....ubwabwa ni sehemu ya surprise na makuzi......maisha bila watu type ya akina hashimu rungwe yañakua magumu Sana.....
 
Aweke lokesheni ya kampeni, tukajilie ubwabwa na nyama kuku bureeeeeh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…