Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna fuse imeblockIs this man serious?
Is this man serious?
Mtuwache na Sipunda wetu[emoji12][emoji12]Sijui nini kimemsibu huyu Mzee maana yuko vizuri tu upstairs au ndiyo kama ulivyosema ANAZEEKA VIBAYA.
sijakuelewa, yaani kwamba ukisema utawapa ubwabwa waamini wakupe kura?I beleave 85% ya watz anaweza kuwateka akili na wakampa kura. More 85% ya vijana hawapati nafasi ya kuendelea ktk masomo ya juu. Unategemea kama sio kuwatengeza na kuwa na akili hizo. Muhimu kuchukua nchi. Ukitumia maarifa makubwa ktk ajenda zako naamini hutopata kura
sijakuelewa, yaani kwamba ukisema utawapa ubwabwa waamini wakupe kura?
sasa nawewe unaamini hashimu ndo Yuko serious...!??? Yule mzee Yuko smart Sana..anajua hawez kuchukua nchi...anapenda makuzi na utani....ubwabwa ni sehemu ya surprise na makuzi......maisha bila watu type ya akina hashimu rungwe yañakua magumu Sana.....Muda utaongea uhai ukiwepo. Ukweli % kuwa ya watz vijana ndio uwezo wa kufikiri unaishia kwenye vijimambo hayo, kama vile wazee wanashawishika kwa khanga, T-shirt na kifoa. Usije ona ajabu mh rungwe yumo 3 bora