Wapenda wanawake wazuri wa baa

Wapenda wanawake wazuri wa baa

Jimmy ally

Senior Member
Joined
May 11, 2017
Posts
156
Reaction score
279
Habari za majukum wanajamii,

Niende moja kwa moja kwenye point. Je, ulishawahi kwenda baa kunywa hata maji au kinywaji chochote lakini ghafla anayekuhuldumia ukajikuta unamuelewa asa wale wa kaunta mpaka ukaamua kukaa na kupoteza muda au ulifanikiwa au kupata hasara. Tujuzane

Screenshot_2019-12-10-22-03-07-1-1.jpeg
 
Ukiwa na uvumilivu wa muda na mbu unafanikiwa. Bila usiwe bahili, agiza bia, nunulia muhudumu bia.

Sasa ujue haupo peke yako wengi wanamtamani sasa yy mwishoni ataangalia nani ana dau zuri, upo smart?
 
Uzi hautuhusu walevi

“ No one who can rise before dawn 360 days a year fail to make his family rich”
 
Habari za majukum wanajamii,

Niende moja kwa moja kwenye point. Je, ulishawahi kwenda baa kunywa hata maji au kinywaji chochote lakini ghafla anayekuhuldumia ukajikuta unamuelewa asa wale wa kaunta mpaka ukaamua kukaa na kupoteza muda au ulifanikiwa au kupata hasara. Tujuzane

View attachment 1288062
Yes, kuna dada hapa Kijitonyama yuko counter na nafikiri grocery ndiyo hii hii👆......huyu mdada ni mzuri kinoma ila sina muda naye kwani nahisi anakanyagwa na kila mtu ajaye hapa maana naona wanavyomshika shika naye akicheka kwa furaha.
 
Back
Top Bottom