Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

Ni nature inataka hivyo, kwa mfano hebu tutumie mifano tunayoishi nayo kwenye jamii yetu, hebu fikiria kuhusu chakula. Unajisikaje kula aina moja ya chakula mwezi mzima bila kubadilisha? Maana yake ni kwamba akili ya mwanadamu imeumbwa kupenda vitu vipya na vya utofauti kila siku.

Ni kwamba mwanadamu hataki mambo yale yale, anapenda utofauti. Ndo maana tunabadili nguo, simu, magari n.k ili kutafuta utofauti. Hii ina-apply hadi kwenye mahusiano ya kawaida na ya ndoa, na ndiyo maana ukishaingia huko unashauriwa usiishi kwa mazoea na mpenzi wako wala usitabirike.

Lengo la kutoishi kwa mazoea ni kwaajili ya kuzuia kuzoeleka na mpenzi wako na hatimaye kuonekana wa kawaida na huna jipya. Kwahiyo silaha pekee hapo ambayo wengi wanashindwa kuitumia ni kujifunza kuridhika na uliyenaye basi.
 
turudi kwenye misingi ya zamani mwanaume aoe wanawake atakao. Ni rahisi kumudu wake wa tatu kuliko mmoja

maana itatengeneza wivu na heshima
wake watakua na wivu na pia wataheshimu mume wao
Babu yangu alioa wake watatu...kwa stress alizopata kwa bibi yangu ambae ni mke wa pili mbona alitangulia mapema mno hata 70 hakufika..akiwa na miaka 64 tu mambo tayari kwishnehi.

Bibi wa kwanza aliamuaga zake kujitenga baada ya kuona maswaibu ya mke mwenza yamezidi...watoto wake wamesoma vizuri..wana mafanikio makubwa sana na wako nane....bi mdogo sasa....ahemmm.

Kwaiyo hii point inadepend...... ukijichanganya ukawa na wake wawili au watatu na mmoja wao sio..utaonja joto ya jiwe.
 
Unaposema tusiishi kwa mazoea na wapenzi wetu unamaanisha nini! Kwa faida ya weng plz
 
Sumu ya Mapenzi ni Maudhi.

Fadhila mfadhili mbuzi Binaadamu ana Maudhi.

Nature ya binaadamu Ubinafsi.

Ukiwa na Ubinafsi lazima utamkwaza mwenzako tu.
 
We jamaa nakukubaligi. Michango yako huwa naipitia kwa roho mkunjufu kabsa
 
We jamaa nakukubaligi. Michango yako huwa naipitia kwa roho mkunjufu kabsa
Ukinikubali unaniharibu Mana ego itajaa nutajiona Niko juu ya dunia,ama naweza kugeuza usiku uwe mchana. Ama naweza nikaijua kesho yangu itakuwaje.
Ukitaka kuwa rafiki yangu tafuta kulipo na weakness nishushie Moto wa kutonikubali.
Ila ndani kwa ndani uwe unajua jamaa kichwa.
Tembo akisifiwa mgema ----- wahenga hawakuwa wajinga.
 
Boraa umesemaaa😅😅😅..sometimes hata tujilazee Kama tulivyoo zaliwaaa...mwenzio yupoo bize na sim au laptop yakee..ndoa sometimes zinachosha kwelikweli
😂😂 Mkuu hakuna iyo kitu ya kudindisha hovyo kwa mkeo na ndio maana inafikia time mkeo ata akipita uchi mbele yako unakua huna ata time ya maku.
 
Boraa umesemaaa😅😅😅..sometimes hata tujilazee Kama tulivyoo zaliwaaa...mwenzio yupoo bize na sim au laptop yakee..ndoa sometimes zinachosha kwelikweli
Pole Sana mom mbarikiwa jamani. Ni kawaida kwenye maisha ama kwa kila kitu hapa duniani.
Cheki mfanyakazi mpya anakuwa na Moto wa kwanza na wa mwisho kutoka job Ila akikomaa mwaka ukaisha anaona kawaida. Nyie shuleni mlikuwa hampati wale walimu wa field wanakuwa wa Moto Sana jamani Ila baadaye wakishafanyiwa usahili wanapoteza.

Yaani ubongo unafanya kazi kwa bidii ukijua Kama Kuna reward ndivyo ulivyo.

Kuna uchunguzi ulifanyiwa kwa monkeys so waliona vitendo vilivyoambatana na reward.


Kama vile umenigusa binafsi Mana nasoma mno mpaka kitandani nakuwa na simu najisomea wife Naona Kama namtesa Ila Kuna skill fulani nakomaa nayo kwa furaha yetu sote baadaye,yaani najua Ile instinctively kuwa hapa sio kabisa,smt namshitukiza Nampa furaha ya kufa mtu ambayo inaweka kumbukumbu kwa ubongo wake inaishi muda mrefu more than three days haija expire.Muda huo nakuwa Niko bize na Mambo yangu.
 
Boraa umesemaaa😅😅😅..sometimes hata tujilazee Kama tulivyoo zaliwaaa...mwenzio yupoo bize na sim au laptop yakee..ndoa sometimes zinachosha kwelikweli
Ila umenichekesha eti ujilaze ulivyozaliwa,nikupe Siri ukiona ivyo Anza kumchokoza kwa kumfanyia kitu ambacho kinamfanya anapoteza akili ya kawaida inakuja akili ya hisia.
Yaani wewe mfanye awashwe ama apate njaa ya chakula shida mnasubiria sie tuwaanze.

Sometime hamia chumba Cha watt lala huko hata wiki nzima ili mpaka aone your absence ubongo wake utamtuma aatakuita.
Niishie hapa bana
 
Nashukuru kwa mawazo mazuri. Hata ubadilisheje utachoka tu.
 
Asanteee kwa neno lakoo zuri..lililonipaa faraja...binafsi ni muelewaaa sanaà najuaa kuishi pamoja muda mrefu Kuna kuzoena Sanaa na kuchukuliana poa mnooo..ndio hivyoo maisha lazimaa yaendeleeeee
 
W
Walipendeana kitu Fulani hakipo ngumi zinaanza
 
😅😅😅😅...Asanteee piaaaaa
 
Wasio wavivu(painful) wa kusoma wasome Ila sio kuhusu mbususu (pleasurable) na ipo kwa English.

ENDORPHINS relieve pains,reduce stress, and boost feelings of pleasure and physical well being
Sources; exercise, sex, laugh, burn essential oils, dance, be creative, eat spicy food, vent about stressful situations, eat dark/brown chochote, drink red wine.
SEROTONIN - stabilizes our mood, improves sleep, and manage emotions appetite and digestion.
sources are: meditation/breathing exercises, do yoga, spend time in nature, listen to white-noise/natural sounds, spend time in the sun, taking vitamin D supplements, infrared sauna, get a massage, go for a hike, play easy- listening music, think positive thoughts.
OXYTOCIN-- known as love hormone, oxytocin is responsible for warm up/ fuzzy feelings that encourage to bond with others.
sources; pet an animal, do a good deed, hug someone, talk to a loved one on phone, spend time with friends, get a massage, vitamin c&d supplement, consume caffeine, sing , do yoga.
DOPAMINE -- is the feel- good hormone responsible for managing the brain reward's centre. its
sources are ; listen to upbeat music, eat a protein- rich diet, exercise, get a good night's sleep, complete a small task, meditate, spend time in the sun, eat chocolate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…