Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

Kwa kadri watu wanavokuaa karibu madahaifu kama yapo lazima yajionyeshe, ni tofaut pale mnapoanza mana kuna watu wale wa kupretend, Jamii ya watu hawa ni weng na ndo mana mahusiano huvunjika
ukweli mtupu!

je nini kifanyike?
 
Huko uzeeni utapata mwengine.

#YNWA
😆Unafikiri mtu aliyekaa kubadilisha watu maisha yake yote yuko Sawa? Umri huo mtu anahitaji utulivu wa nafsi na nguvu huwa zimeisha muda mwingi atabaki amekaa kukumbuka alivyoishi maisha yake, fainali uzeeni 🥴
 
wakati wa uumbaji kila jinsia ilishi kivyake lakini ukatengenezwa mfumo wa kuishi pamoja, ambayo ulisababisha uwasi huko walipokuwa wakishi
 
Boraa umesemaaa😅😅😅..sometimes hata tujilazee Kama tulivyoo zaliwaaa...mwenzio yupoo bize na sim au laptop yakee..ndoa sometimes zinachosha kwelikweli
Ndio maana wale wanaoa kwa kigezo cha tako mwish wa siku wanapat tabu mnoo kwa sabab mtu akishamuoa mke wake akawa nae ndan awe na tako asiwe na tako anamuona wakawaida tu
 
😆Unafikiri mtu aliyekaa kubadilisha watu maisha yake yote yuko Sawa? Umri huo mtu anahitaji utulivu wa nafsi na nguvu huwa zimeisha muda mwingi atabaki amekaa kukumbuka alivyoishi maisha yake, fainali uzeeni 🥴

Kuoa ni ujinga mmoja wa kifaler sanaaa ...!!!

#YNWA
 
Uzuri wa sura na umbo ni siku 90 tu baaasi. Baada ya hapo utaratibu wa mume anaheshimiwa na mkewe halafu mke anasikilizwa na mumewe unashika hatamu , kinyume na hapo ugomvi haukauki ndoani.

Ndoa sio jela ndoa ni kuridhiana
 
Wapendanao hawachokani sababu mapenzi yao ya liunganishwa na UPENDO, mutual feelings, unconditional love. Siku hizi vice versa tunatamaniana na kuangalia una nini upendo hamna.
Mimi naamini hiki ulichosema. Kuna mtu amewahi kumchoka mama yake au mtoto wake ? (ambaye hajamfanyia baya) 🥴
 
Expecting too much from each other ndio tatizo kubwa.
Yaani unakuta mtu Ana mapungufu mengi tu ambayo yanavumiliwa na mwenza wake, ila yeye mwenyewe hawezi kuyavumilia mapungufu ya mwenzake, anaona Kama alikosea Sana kuishi na mtu huyo.

Ndio maana wanasemaga ukikosea ndoa Basi umekosea maisha pia.
 
Ni kuwa na mategemeo makubwa au kutokuwa tu na chemistry? 🥴
 
Nature ya binadamu ni kutokuridhika,hata wewe hapo mkuu Mr Gadaffi nikikuuliza tokea umeanza kutumia smartphone,hiyo simu unayotumia sasa hivi ni ya ngapi utagundua kuwa binadamu hajawahi kuridhika hata siku moja,mradi tu ukikaa na simu flani kwa muda mrefu inafikia mahali unaichoka na kutaka nyingine,na hili Mungu alilijua kuwa litatokea ndio maana kukawa na ndoa,yani ukishingia tu hakuna kuchomoa mpaka kifo kiwatenganishe...
 
Maisha ya kuoa kama semaji la Yanga tu kata mti panda mti kata mti panda miwili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ahahah umetisha sana!

asante kwa mchango wako mkuu!
 
Maisha ya kuoa kama semaji la Yanga tu kata mti panda mti kata mti panda miwili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahah sasa tunatakiwa kujifunza ni jinsi gani unaweza kuishi na kitu useless na ukaendelea kukipenda kama mwanzo!
 

[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…