Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

Kwa kadri watu wanavokuaa karibu madahaifu kama yapo lazima yajionyeshe, ni tofaut pale mnapoanza mana kuna watu wale wa kupretend, Jamii ya watu hawa ni weng na ndo mana mahusiano huvunjika
ukweli mtupu!

je nini kifanyike?
 
Huko uzeeni utapata mwengine.

#YNWA
😆Unafikiri mtu aliyekaa kubadilisha watu maisha yake yote yuko Sawa? Umri huo mtu anahitaji utulivu wa nafsi na nguvu huwa zimeisha muda mwingi atabaki amekaa kukumbuka alivyoishi maisha yake, fainali uzeeni 🥴
 
Ukweli mchungu, binadamu hajaumbwa kukaa, kuishi na mtu fulani mfano kulala kitanda kimoja kwa muda usiojulikana. Ni sisi wanadamu tumejipangia huo utaratibu na duniani kote ni vilio na kusaga meno huo utaratibu umeshindikana. Ndoa nyingi na mahusiano mengi watu wako pamoja Kwa kuvumiliana tu aidha kuifurahisha jamii au kufata maelekezo ya dini zao. Binadamu by nature hajaumbwa aishi na mtu mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Ni ukweli ambao hausemwi popote rasmi, na watakuja watu kunibeza na kunitukana hapa ila ndio uhalisia. Wengi wanakuja kuujua huu ukweli wakishafikisha miaka 65,70 na kuendelea na kutamani wangeujua mapema. Mpaka Sasa 98% ya watu duniani wanaishi maisha ya kufuata maelekezo wasiyoyajua na kumjua anayewaelekeza ndo maana watu wengi huishi karibia maisha yao yote bila ya kuwa na peace of mind.
wakati wa uumbaji kila jinsia ilishi kivyake lakini ukatengenezwa mfumo wa kuishi pamoja, ambayo ulisababisha uwasi huko walipokuwa wakishi
 
Boraa umesemaaa😅😅😅..sometimes hata tujilazee Kama tulivyoo zaliwaaa...mwenzio yupoo bize na sim au laptop yakee..ndoa sometimes zinachosha kwelikweli
Ndio maana wale wanaoa kwa kigezo cha tako mwish wa siku wanapat tabu mnoo kwa sabab mtu akishamuoa mke wake akawa nae ndan awe na tako asiwe na tako anamuona wakawaida tu
 
😆Unafikiri mtu aliyekaa kubadilisha watu maisha yake yote yuko Sawa? Umri huo mtu anahitaji utulivu wa nafsi na nguvu huwa zimeisha muda mwingi atabaki amekaa kukumbuka alivyoishi maisha yake, fainali uzeeni 🥴

Kuoa ni ujinga mmoja wa kifaler sanaaa ...!!!

#YNWA
 
Uzuri wa sura na umbo ni siku 90 tu baaasi. Baada ya hapo utaratibu wa mume anaheshimiwa na mkewe halafu mke anasikilizwa na mumewe unashika hatamu , kinyume na hapo ugomvi haukauki ndoani.

Ndoa sio jela ndoa ni kuridhiana
 
Wapendanao hawachokani sababu mapenzi yao ya liunganishwa na UPENDO, mutual feelings, unconditional love. Siku hizi vice versa tunatamaniana na kuangalia una nini upendo hamna.
Mimi naamini hiki ulichosema. Kuna mtu amewahi kumchoka mama yake au mtoto wake ? (ambaye hajamfanyia baya) 🥴
 
Expecting too much from each other ndio tatizo kubwa.
Yaani unakuta mtu Ana mapungufu mengi tu ambayo yanavumiliwa na mwenza wake, ila yeye mwenyewe hawezi kuyavumilia mapungufu ya mwenzake, anaona Kama alikosea Sana kuishi na mtu huyo.

Ndio maana wanasemaga ukikosea ndoa Basi umekosea maisha pia.
 
Ni kuwa na mategemeo makubwa au kutokuwa tu na chemistry? 🥴
 
Kwa ufupi,

Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!

Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!

Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?

Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?

Nini maoni yako?
Nature ya binadamu ni kutokuridhika,hata wewe hapo mkuu Mr Gadaffi nikikuuliza tokea umeanza kutumia smartphone,hiyo simu unayotumia sasa hivi ni ya ngapi utagundua kuwa binadamu hajawahi kuridhika hata siku moja,mradi tu ukikaa na simu flani kwa muda mrefu inafikia mahali unaichoka na kutaka nyingine,na hili Mungu alilijua kuwa litatokea ndio maana kukawa na ndoa,yani ukishingia tu hakuna kuchomoa mpaka kifo kiwatenganishe...
 
Maisha ya kuoa kama semaji la Yanga tu kata mti panda mti kata mti panda miwili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ahahah umetisha sana!

asante kwa mchango wako mkuu!
 
Maisha ya kuoa kama semaji la Yanga tu kata mti panda mti kata mti panda miwili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahah sasa tunatakiwa kujifunza ni jinsi gani unaweza kuishi na kitu useless na ukaendelea kukipenda kama mwanzo!
 
Kuna siku imemiminwa moyoni. Yaani mie nikikutana na mtu ameumizwa Ni rahisi kumrudisha Ile Hali ya mwanzo. Najua how to tricky her or his mind anasahau ili asahau maumivu yaishe.
Mana we're always operating in emotional level na sio logic/rational brain.
Yaani maumuzi yetu kwa 24hrs yanafanywa emotionally, by subconscious mind baadaye hii rational mind ndio inakuja kutetea why umefanya hayo maamuzi Ila uhalisia umefanya pasipo akili ya kawaida. Ni sawa unapohonga ama unanunua k baadaye emotions zikisepa unaanza kujuta kuwa why ulifanya maamuzi. Ila baadaye unayarudia ukishazidiwa na hisia aka emotions.

[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
 
Back
Top Bottom