Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

Unajua wanaume ndo huwa wanawachoka zaidi wapenzi wao

Mwanamke mnapoanza mahusiano anakuwa anakupenda kawaida ila kadri siku zinavyoenda ndo anakupenda zaidi

Hili tatzo la kumchoka mwenza wako naona ni tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Wenye tatzo la nguvu za kiume huwa na kawaida ya kuwachoka wenza wao
 
Haya mambo we acha tu
unawakuta wazee umri 60+ ambao wamejaaliwa kutotengana tangu ujanani, hawana furaha!
hawapigi story zaidi ya kuelekeza badhi ya mambo!
wanategeana migongo!
wameshachokana ila hawana namna!!

...hao ni wazee na vijana ooh
Kwenye mapenzi kugombana ni kawaida ila kama mna upendo kupatana ni kitu cha kawaida sababu kuna upendo.
 
Unajua wanaume ndo huwa wanawachoka zaidi wapenzi wao

Mwanamke mnapoanza mahusiano anakuwa anakupenda kawaida ila kadri siku zinavyoenda ndo anakupenda zaidi

Hili tatzo la kumchoka mwenza wako naona ni tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Wenye tatzo la nguvu za kiume huwa na kawaida ya kuwachoka wenza wao
ahahah hili tutalifanyia kazi!
 
Wanaume hatutakiwi kujifunga kwenye ndoa sisi ni watu wa tamaa tunawatamani tu wanawake kingono.

Mimi nilishajisemea ndoa siiwezi kwa sababu nawatamani sana wanawake kingono siwezi kutulia na mmoja kama nikiingia kwenye ndoa nipate mke atakayeweza kunivumilia kuwa na michepuko
 
Ukweli mchungu, binadamu hajaumbwa kukaa, kuishi na mtu fulani mfano kulala kitanda kimoja kwa muda usiojulikana. Ni sisi wanadamu tumejipangia huo utaratibu na duniani kote ni vilio na kusaga meno huo utaratibu umeshindikana. Ndoa nyingi na mahusiano mengi watu wako pamoja Kwa kuvumiliana tu aidha kuifurahisha jamii au kufata maelekezo ya dini zao. Binadamu by nature hajaumbwa aishi na mtu mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Ni ukweli ambao hausemwi popote rasmi, na watakuja watu kunibeza na kunitukana hapa ila ndio uhalisia. Wengi wanakuja kuujua huu ukweli wakishafikisha miaka 65,70 na kuendelea na kutamani wangeujua mapema. Mpaka Sasa 98% ya watu duniani wanaishi maisha ya kufuata maelekezo wasiyoyajua na kumjua anayewaelekeza ndo maana watu wengi huishi karibia maisha yao yote bila ya kuwa na peace of mind.
Huu ni ukweli mtupu
 
Haya mambo we acha tu
unawakuta wazee umri 60+ ambao wamejaaliwa kutotengana tangu ujanani, hawana furaha!
hawapigi story zaidi ya kuelekeza badhi ya mambo!
wanategeana migongo!
wameshachokana ila hawana namna!!

...hao ni wazee na vijana ooh
Si ndo hao walioa makalio 😆😆
 
Ukweli mchungu, binadamu hajaumbwa kukaa, kuishi na mtu fulani mfano kulala kitanda kimoja kwa muda usiojulikana. Ni sisi wanadamu tumejipangia huo utaratibu na duniani kote ni vilio na kusaga meno huo utaratibu umeshindikana. Ndoa nyingi na mahusiano mengi watu wako pamoja Kwa kuvumiliana tu aidha kuifurahisha jamii au kufata maelekezo ya dini zao. Binadamu by nature hajaumbwa aishi na mtu mmoja hadi kifo kiwatenganishe. Ni ukweli ambao hausemwi popote rasmi, na watakuja watu kunibeza na kunitukana hapa ila ndio uhalisia. Wengi wanakuja kuujua huu ukweli wakishafikisha miaka 65,70 na kuendelea na kutamani wangeujua mapema. Mpaka Sasa 98% ya watu duniani wanaishi maisha ya kufuata maelekezo wasiyoyajua na kumjua anayewaelekeza ndo maana watu wengi huishi karibia maisha yao yote bila ya kuwa na peace of mind.
Ni kwel kabisa unachokisema

Wengi tunavumiliana tu

Mfano kama mimi sikuwafaidi kabisa mademu nilipokuwa kwenye umri wa kuwachezea ile 15-23 yrs maana uwezo wa kipesa haukuwa mzuri pia nilkuwa domo zege wa kiwango cha kati,pia mitaa niliyoishi kulikuwa hakuna mademu yaani kulikuwa na mabibi,wanawake watu wazima na watoto,
Kiufupi ni kuwa niliruka stage hiyo kwenye umri huo

Sasa wakati ndo nimetusua maisha kiaina akatokea demu mmoja akanibana kweli na mimi kwa huruma zangu nikamkubalia ingawaje niliamin kuwa anaenda kunibana sana,badala ya kuinjoy maisha ya kuzichakata kwa uhuru,nikaanza kuzichakata pasipo uhuru

Mpaka leo niko ndoani ila navumilia tu,najiona nimedhurumiwa haki yangu
 
Wanaume hatutakiwi kujifunga kwenye ndoa sisi ni watu wa tamaa tunawatamani tu wanawake kingono.

Mimi nilishajisemea ndoa siiwezi kwa sababu nawatamani sana wanawake kingono siwezi kutulia na mmoja kama nikiingia kwenye ndoa nipate mke atakayeweza kunivumilia kuwa na michepuko
Wazee wa harakati nawaelewa sana,Mzabzab
 
Ni kwel kabisa unachokisema

Wengi tunavumiliana tu

Mfano kama mimi sikuwafaidi kabisa mademu nilipokuwa kwenye umri wa kuwachezea ile 15-23 yrs maana uwezo wa kipesa haukuwa mzuri pia nilkuwa domo zege wa kiwango cha kati,pia mitaa niliyoishi kulikuwa hakuna mademu yaani kulikuwa na mabibi,wanawake watu wazima na watoto,
Kiufupi ni kuwa niliruka stage hiyo kwenye umri huo

Sasa wakati ndo nimetusua maisha kiaina akatokea demu mmoja akanibana kweli na mimi kwa huruma zangu nikamkubalia ingawaje niliamin kuwa anaenda kunibana sana,badala ya kuinjoy maisha ya kuzichakata kwa uhuru,nikaanza kuzichakata pasipo uhuru

Mpaka leo niko ndoani ila navumilia tu,najiona nimedhurumiwa haki yangu
Haki ya kuchakata[emoji23][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom