Kwa ufupi,
Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo!
Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano, mapenzi mubashara, lakini mwisho wa siku unamwona si kitu, hakufai, na kuanza kumtafutia sababu za kummwaga!
Uko kwenye ndoa, una mme/mke wako, unathubutuje kutamka kwamba huyo si chaguo lako? Una wazimu?
Nini kinachopelekea kujitokeza kwa hali hiyo? Ulishawahi kuacha/kuachwa bila sababu?
nini maoni yako?
Ningekujibu kiundani yaani jinsi ubongo unavyofanya kazi sema najisikia kuchokachoka Ila ngoja nilazimishe ubongo Mana Ni adui kwetu.
Iko ivi unapopata kitu kipya huwa Kuna Ile furaha ya mwanzo. Why furaha inatokea coz Kuna kemikali fulani inamiminwa mwilini ambayo inafanya unakuwa na furaha kutokana na external factors like nyumba mpya,kazi mpya,umeshinda kamari,umefakiyo demu/boy mzuri mno kwa moyoni mwako,umenunua phone nzuri,umehamia ulaya jiji zuri ama mido isti,umevaa nguo mpya na nzuri,umekula msosi mzuri unaolala unauota.umecheza kamari,umetumia drugs,ama umefanya katabia fulani hakana faida Ila wewe unafurahia like gossiping someone,ukamkomesha mtu,ukatumia drugs,ukacheki pornography,ukapiga punyetu,ukanywa kinywaji fulani,umevunja Sheria fulani,ukapewa rushwa fulani,ukasafiri kwa pipa or whatever.
Sasa bwana hizi kemikali huwa zinakaa mwilini kwa muda tu Mana Ni Hali ya ubongo kuzitoa Ni pale unapokuwa umeshtuliwa na kitu kigeni na kizuri Kama hapo juu.
Hizi ama furaha Ni hisia tu kumbuka. Mana ya hisia huwa zinaisha Ni sawaa na hasira,njaa,kucheka,kuumia kumpoteza umpendaye,kuchukia tabia fulani unaiyoiona mtaani/nyumbani kwako.
Sasa bwana hizi kemikali zikishakaa mwilini zikakufanya ukajihisi furaha huwa zina expire. Zinaitwa dopamine, endorphins zinakufanya unakuwa tick or high.
Pia ukiwa na hasira/stress mwili unatoa cortisol . ama Kuna gland inaitwa pituitary ndio inayosimamia mwili kuzalisha hizi kemikali kwa ajili unajisikia ivyo hasira.
Sasa bwana ukishazipata hizo kemikali za furaha zinaisha kabisa ivyo inatakiwa Tena upate kingine kigeni ili kikufanye uwe high/tick/amped up.
Mfano ubadili demu,upate hela zingine,nyumba nyingine,rushwa nyingine,mtt mwingine,kazi nyingine uhame hapo,ule chakula kingine n.k.
Mana ukiwa unapata kitu kile kile ukishakuwa used nacho unaanza ama unaacha kushtuka Mana Kama Ni ke umeshajua mpaka harufu,size ya ke, mpaka Ile Hali akisweti ukiwa naye unajua,paja,mwili wake,titi lake, yaani kila kitu kipo kichwani mwako,pumzi yake,purukshani zake i.e romance so tayari kichwa/brain imeshajua kila kitu ama kimeshahifadhi everything about that event/s inayofanya uwe na furaha.
So hakuna jipya la kukushangaza/kukufurahisha anymore.
Hali iyo inapelekea unakuwa hupati Tena msisimko Sasa bwana ukiwa mtu wa kutafuta furaha utamaliza dunia nzima na iyo Hali itajirudia tu Kama dunia invyozunguka jua Ni non-stop happiness seeking.
Hii Ni sawa na hofu mfano Kama Kuna Jambo unaogopa kulifanya lifanye many times hofu itapotea.
Na ndio Mana wanasema kuwa Kama furaha yako inatoka nje ya moyo wako Basi utakuwa mtumwa hapa duniani.
Walio strong emotionally huwa wakiwa alone wanakuwa na happiness kinyama.
Na ndio Mana huwa wanashauri vijana waoe wanawake wanaowafahamu Mana mwanzoni kila mtu Ni gold kwa mwenzake Ila kadri muda unavyozidi kwenda graph inashuka mpaka minus.
Mana ukishamjua mwenzako mpaka madhaifu yake Kama anapiga kamoja so unamchoka mpaka keep na hapo utaanza kucheki furaha yako nje.
Na ndio Mana Kuna watu wanapata pesa kwa kufanya kazi ambazo hawazipendi, sema Ile living inawafanya waendelee kuzifanya.
Furaha mfano kwenye kazi Ni suala la kutatua matatizo ambayo hayaishi. Mfano kila siku wewe unaletewe wagonjwa walioshindwa kutibika pengine,unafundisha wanafunzi wanafaulu extraordinary,unahudumia watu matatizo mbalimbali yaani shida zao zinaisha ndio furaha yako baadaye unashangaa unalipwa kwa kufanya kitu unachokipenda,unacheza mktaba feki unachota hela za wananchi kwa kampuni hewa iliyosajiliwa huko USA Kama Richmond,unasimamia kesi zenye utata zinafaulu ndio furaha inapatikana kwako,Ila hela inakuwa Kama reward/tuzo kwako Mana hayo matatizo unaweza kuyatatua bila hata ya kulipwa.
Ila inawezekana ukawa na mtu ambaye unampenda daima sema Sasa hii Ni nadra mno ,unakumbuka pendo lakon kwa kwanza Kama yule ungeishi naye nadhani kila siku ungekuwa unamuona Ni mpya Ila nadhani ingefikia sehemu utamchoka hata angekuwa malaika hii Ni asili ya ubongo tulio nao.
Sasa bwana Kama ulioa demu ambaye baadaye akakuchoka ndipo atakapoanza mauzauza huko umri umeenda,hata ndugu yako akija anakunja uso,ukisaidia kwenu anamaindi kinyama,ukizidi kumbana na kumzingua na unazo Mali Ni rahisi mno kukutanguliza Ila Kama mmeoana mnafahamiana miaka na miaka tokea kwa mababu zenu kwanza Ile bond ya huko nyuma inakuwepo inawaunganisha so ule uhasama unamalizwa na ujamaa ama undugu baina yenu.
Umeona mfano wa waarabu Ile bond inakuwa very strong.