Wapendwa maua na bustani tukutane hapa

Wapendwa maua na bustani tukutane hapa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
ZMilipokuwa mdogo kupanda maua ilikuwa hobby yangu. Wakati ule ni kuona maua hata yawe Chang'ombe au Keko nitafuatilia nipate mbegu.
Nilikuwa na collection ya maua ridi Meupe, pink na mekundu

Nilikuja kugundua nyoka wanapenda sana kukaa kwenye maua na kwasababu hiyo ilikuwa rahisi kwao kuingia ndani mvua zikinyesha au kukiwa na hali ya baridi

Kusave maua yangu yasiharibiwe ili kuwpuka nyoka niliambiwa na mama mmoja niwe ninachoma kipande cha tairi ya gari karibu na bustani kwani nyoka hawapendi ile harufu Abadan
 
fuchsia-color-painted-flower-georgianne-giese.jpg


Swissme
 
Back
Top Bottom