M Magreth ditrick New Member Joined Sep 19, 2019 Posts 1 Reaction score 1 Sep 20, 2019 #1 Wapendwa pia natafuta kijana expert wa ubunifu na upambaji ukumbi mwenye experienceee ya kutosha
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 16,054 Reaction score 11,568 Sep 20, 2019 #2 Uko wapi wewe?
P petpat JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 213 Reaction score 258 Sep 21, 2019 #3 Kwenye heading kuna chaki, maelezo kijana wa upambaji, uko makini kweli??? Sasa usaidiwe lipi kati ya hayo
Kwenye heading kuna chaki, maelezo kijana wa upambaji, uko makini kweli??? Sasa usaidiwe lipi kati ya hayo
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,200 Reaction score 49,076 Sep 21, 2019 #4 Hio safi sana huyo kijana wa ubunifu anaweza akawa anakusaidia kupamba kumbi za harusi kwa kuchora chora kumbi za watu kwa kutumia chaki zako akichora maumbo mbalimbali kama vile pie,mraba,mstatili etc.
Hio safi sana huyo kijana wa ubunifu anaweza akawa anakusaidia kupamba kumbi za harusi kwa kuchora chora kumbi za watu kwa kutumia chaki zako akichora maumbo mbalimbali kama vile pie,mraba,mstatili etc.
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,400 Reaction score 14,339 Sep 21, 2019 #5 hongera....jaribu kutembelea kule kariakoo shimola udongo kuna sehemu wanauza parkeging nahisi utapata aua huko watakuelekeza pa kupata
hongera....jaribu kutembelea kule kariakoo shimola udongo kuna sehemu wanauza parkeging nahisi utapata aua huko watakuelekeza pa kupata
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Sep 21, 2019 #6 Safi sana... ngoja waje... Cc: mahondaw
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Sep 21, 2019 #7 Unataka kijana Wa kike au kiume