Wapendwa na nmeanza kutengeneza chaki, sasa nashida na upatikanaji wa box kwaajilo ya packing

Wapendwa na nmeanza kutengeneza chaki, sasa nashida na upatikanaji wa box kwaajilo ya packing

Kwenye heading kuna chaki, maelezo kijana wa upambaji, uko makini kweli???
Sasa usaidiwe lipi kati ya hayo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hio safi sana huyo kijana wa ubunifu anaweza akawa anakusaidia kupamba kumbi za harusi kwa kuchora chora kumbi za watu kwa kutumia chaki zako akichora maumbo mbalimbali kama vile pie,mraba,mstatili etc.
 
hongera....jaribu kutembelea kule kariakoo shimola udongo kuna sehemu wanauza parkeging nahisi utapata aua huko watakuelekeza pa kupata
 
Back
Top Bottom