Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

Status
Not open for further replies.
Uliajiriwa,ukaona ujiongeze ukafanikiwa...ninachojua maisha yanabadilika,unaweza kuwa juu lakini ndani ya muda mchache ukarudi chini lakini sidhani kama ukirudi chini haipo namna unaweza kufanya ukarudi tena juu

Hebu fikiria ukikata tamaa mtoto na mama wataishije?Na umeandika hapo kwenye uzi wako kwamba ni watu wanaokutazama

Kuanguka sio mwisho, bali ni sehemu ya safari
Pambana
 
Pole
Pole Sana mpambanaji
 
Mkuu pole sana kwa mambo hayo.
Kila jambo litakaa sawa kwako na utashuhudia yote yakitokea kwa macho yako.
Kama unasali sali sana wakati huu.
Kama kuna ishu ambayo unaona unaweza ukaifanya kwa sasa ili urudi kwenye game taratibu anza,kama mdau hapo ameshauri kuuza matunda sio mbaya,yani fanya kitu ambacho ni simple muda unavyozidi kwenda utaweza kuhamia kwa biashara zingine ambazo ni complex ila kwa sasa focus na vitu simple visikuumize kichwa huku unapanga mipango mingine.
Ni suala la muda mama watoto atarudi na mambo yatakaa poa mkuu..Worry not
 
huyu inatakiwa nimpe dawa ya kufirimba bureeee
 
Kwanza naona milango inafunguka, mke kukukimbia ni mlango mmoja huo umefunguka. Niliwahi kupitia hali kama yako na mke akaondoka. Kuondoka mke mambo yakarudi mdogo mdogo sasa anatamani awe mchepuko.
Bila mke nakuhakikishia utatoboa huu mwaka 2025, amini Mungu.
 
Pole sana si vizuri binadamu aliyehai kukata tamaa
 
Pole chap sahau kuhusu yaliopita kama ukifungwa na yaliopita aki utoboi maana ukijikwaa kidgo unakumbuka past, anza hapo hapo mwenyewe watu wa kaskazin sio wa kukata tamaa huwa wanafosi kivyovyote mpaka kinaeleweka zidisha maombi angalia mbele kwa mbele ukiona wataka kujitundika juwa umelogwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…