Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

Status
Not open for further replies.
Kaka nipe namba yako ya Whatsapp
 
Mimi nimefurahi hapo aliposema mke kamkimbia, lilikuwa pepo hilo Mungu kalitimulia mbali. Jamaa atatoboa muda si mrefu kausha damu hayupo.
 
Pole sana mkuu

Ila kukata tamaa hadi hatua ya kuona bora ujiue ni ujinga kama ulivyo ujinga mwingine. Mwanaume inabidi ukaze, mwanaume yupo duniani kwa ajiri ya kuteseka tu

Ukija kutoa uzi mwingine wa kutaka sumu ya kujiua, naomba unitag. Nitakua mstari wa kwanza kushauri sumu za kisasa zinazoua vizuri
 
Dunia ni uwanja wa vita vya hatima mkuu.

Na hii ni game so kuna muda mambo huwa hivyo ila jitahidi upambane bila kukata tamaa na wala usiwaze kujidhuru eti kwakua umeanguka mara moja kwa maana wako wenzio ambao wanaanguka zaidi ya hiyo mara moja ila wananyanyuka na kukaa kitaalam.

At least sasa hivi huna marafiki wengi and jitahidi hata utakaporudi kuwa sawa wale waliokwenda uwaache huko huko waliko, ishi maisha yako coz am sure utarudi sawa, ni lini, inategemea na wewe namna umerelax na kuwa na mpango unaoeleweka.

Ukazane kwenye kuomba kulingana na imani yako.

Kufanikiwa ni rahisi ila kudumu kwenye mafanikio huwa sio rahisi hata kidogo.
 
Muombe Mungu akupe maarifa ya kutatua hiyo changamoto kama unaamin Mungu yupo.
 
Huko mbali Sana pia sio suluhisho la changamoto ninazopitia
 
Wasukuma wengi ni hatari kwa uchawi. Naona kama tatizo lako lilianzia kwa hawa watu, ni washirikina na hupenda kufanya wengine misukule.

Nakushauri weka maombi makali dhidi ya uchawi na roho ya usukule. Yawezekana walikuchukulia nyota yako hawa watu sio wazuri.

Jingine kumbuka kuwa wewe ni Mchagga na ndugu zako wamejaa mjini hapo na ndio wamiliki wakubwa wa biashara mbalimbali. Kwanza safisha nyota yako kwa maombi ya nguvu, halafu anza kujiunganisha na akina Mangi natumaini baada ya muda mfupi utakuwa juu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…