Wapendwa naona kama mwisho wangu umekaribia

Status
Not open for further replies.

Hizi cheche za nini mkuu
Sidhani kama comment yangu inasupport kitendo cha mke kuondoka

Wewe furahi,hujakatazwa
 
Tena wachaga na wapare wanakuwa wana kitu kama jumuiya au umoja fulani mijini huko yaani wanajuana wote kwahiyo ni vyema akawaona wenzake waone wanamsaidiaje
 
Pole sana
 
Pole mkuu
Mungu atakusaidia usikate tamaa pambana.
 
Soma kuhusu hawa watu, ingia you tube au google, Sanders mmiliki wa KFC, Jack ma n.k,
pia hata maandiko yanasema ๐๐ฒ๐š๐ค๐š๐ญ๐ข ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐ฎ ๐ก๐š๐ณ๐ข๐๐ฎ๐ฆu. Hivyo usikate tamaa kuna wakati mambo fulani hutokea si kwa sababu ya shetani bali kukuimarisha au kukuondoa mahali pasipokuwa sahihi.

Hivyo utashangaa wokovu wa bwana unavyokushukia pale unapojaribu na kuanza upya na namna utavyofanikiwa. Mungu amekuandalia jicho la tatu utaona njia hadi utasahau yaliyokutokea. Ninayeandika hapa leo utakuwa shuhuda kwangu siku moja. Usiogope kuanza upya.

Atatokea mtu wa kukushika mkono na kukupa njia hadi utashangaa.

Usisite kuomba, kula, kulala mda wa kutosha, kufanya meditation ikifuatiwa na tune tu na siyo mziki, na mazoezi, usisite kujichanganya na watu. Bwana aibariki kazi ya mikono yako amina. Poor Brain dronedrake
 
Mkeo kazingua, hivi anaanzaje kukuacha kipindi km hiko na mtoto ni mdogo??

Sema kina Mangi sina wasiwasi na nyie kwenye kupambana, utasimama tena..!!
 
Tafuta muelekeo mwingine kapige mishe na maombi ya kutosha. Utayashinda majaribu.
 
Yaani uliacha kazi kwa sababu ya kugombna na supervisor??? Huko unaakotafuta ukigombna na mtu s utaacha piah???

Umeeleza mambo mengi ila hujanyosha maelezo vizuri. Kila la kheri kwenye utafitaji
 
Yaani uliacha kazi kwa sababu ya kugombna na supervisor??? Huko unaakotafuta ukigombna na mtu s utaacha piah???

Umeeleza mambo mengi ila hujanyosha maelezo vizuri. Kila la kheri kwenye utafitaji
Rudia kusoma vizuri utaelewa mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ