elizabeth miraji
Member
- Oct 7, 2019
- 8
- 10
Plan yako ikoje?Wapendwa,nataka kufanya biashara ya diapers mkoan mwenye experience ya hii biashara anisaidie sehemu ya kuchukua mzogo ,faida inakaaje ect.
Wapendwa,nataka kufanya biashara ya diapers mkoan mwenye experience ya hii biashara anisaidie sehemu ya kuchukua mzogo ,faida inakaaje ect.
Mzoga gan huo Unataka kuchukua ebu soma vzr sijakuelewa aiseWapendwa,nataka kufanya biashara ya diapers mkoan mwenye experience ya hii biashara anisaidie sehemu ya kuchukua mzogo ,faida inakaaje ect.
AsanteUsikatishwe tamaa, diapers zinauzika mikoni, mm nauza nguo za watoto ila nataka nianze na hizoo.
Tatzo mtu ukimwambia mkoani anakariri vijijini huko
Just typing error,nilimaanisha mzigoMzoga gan huo Unataka kuchukua ebu soma vzr sijakuelewa aise
Fafanua vizuri usaidiwe
Mzoga gan huo Unataka kuchukua ebu soma vzr sijakuelewa aise