Wapendwa nataka kufanya biashara ya diapers mkoani,mwenye experience anisaidie sehem ya kuchukua mzigo,faida inakaa vip etc

Wapendwa nataka kufanya biashara ya diapers mkoani,mwenye experience anisaidie sehem ya kuchukua mzigo,faida inakaa vip etc

Mmmhhh wa mama wa mikoani utakula hasara tu sidhani kama wanaweza kutoa jero kununua diapers(PAMPAZ) na kisha kuitupa,wamama wa mjini wanapenda kitonga ndipo soko lipo kwa siku si chini ya "PAMPAZ" 5 kwa matumizi ya mtoto ila kwa mikoani wanatumia "NEPI" na vipande vya kanga zilichokoka.
 
Usikatishwe tamaa, diapers zinauzika mikoni, mm nauza nguo za watoto ila nataka nianze na hizoo.

Tatzo mtu ukimwambia mkoani anakariri vijijini huko
 
Back
Top Bottom