Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
mwambie bhana watu wanaacha kazi pombe haiachwiUnakazi nyingine ya kufany ukiacha pombe mkuu???
Maan uku mtaan maisha ni magumu ujue
Kila kinachoitwa pombe Mimi nakunywa mpaka Chattle largerpunguza kula matapu tapu ni wazi unakunywa gongo mkuu
Unataka uache pombe unywe kahawa vijiweni au?Wakuuu shikamooo wakubwaaa!!!
Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.View attachment 821887
hahaha chattle lager ni nomah mkuuKila kinachoitwa pombe Mimi nakunywa mpaka Chattle larger
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua poaMkuu tutafutane tushauriane huku tukishtua bia mbili tatu!