Wapendwa, nifanyeje niache POMBE?

Subiri ukiliwa tigo wala hutohitaji ushaur we walengeshee tu
Una best experience!!!! Hizo tabia ziko pwani sisi huku kanda ya ziwa makata mavi ni zaidi ya steel wire. Hutoboi hata kwa msumarii
 
Wakuuu shikamooo wakubwaaa!!!
Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.View attachment 821887
Ukiwa mlevi ukifikia hali kama hii mbaya sana!!! Unaweza kupata madhara makubwa sana bora umrudie mungu mapema... Maana huu ni ugonjwa mkubwa
Sio pombe hizi. Nahisi umerogwa kwa pombe usiwe na mbele wala nyuma

Mwisho tafuta mtaalam akupe dawa ya kuachana na pombe!
 
Tatizo sio kuwa mnywaji tatizo hunywi kwa akili,unakunywa hadi ujielewi huko ni kujidharirisha,Kunywa kwa kihasi
 
Hapa kidogo nimpoteze mke.ndio nimetoka kupiga magoti kuomba msamaha.alishapack mabegi kabisa!jana nimelewa nikajikuta nimelala ndani ya gari hadi asubuhi.nilishindwa ht kuwasha.hiyo club ina walinzi basi nikalala hapo asubuhi nikawapa buku5 ya kunilinda
 
Mkuu jikate mikono.. Mikono ndio chanzo cha ww kunywa pombe
 
Zungumza na dhamira yako, ukiwa na nia ya dhati utaacha. Kuanzia sasa kila ukinywa pombe andika gharama yake na mwisho wa mwezi ni ngapi? Ungenunua vitabu vingapi vya mtoto kwa hiyo pesa? Angalia vitu muhimu katika maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…