sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Hapo ushauri utaenda poa kabisa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ushauri utaenda poa kabisa![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] itakua poa
Hahaaaa. LolUkiacha pombe hakikisha umejifunza na kufuma vitambaa
Pombe zimepunguzwa bei ujue weweUnakazi nyingine ya kufany ukiacha pombe mkuu???
Maan uku mtaan maisha ni magumu ujue
Kilichoniuma ni ugali wangu. Nilikua nimeficha ugali kwenye buti nkakuta umejaa matopeDuuh! Hizo buti hazikuwa nzito kweli.
K vant zinanikata memory.Mkuu tutafutane tushauriane huku tukishtua bia mbili tatu!
Una best experience!!!! Hizo tabia ziko pwani sisi huku kanda ya ziwa makata mavi ni zaidi ya steel wire. Hutoboi hata kwa msumariiSubiri ukiliwa tigo wala hutohitaji ushaur we walengeshee tu
SfawgkscnjxxvhjnwafiNenda kisarawe omba kazi ya udereva au upish wa d.c
Aisee km ukilewa unakua hivi? Usinywe tena tuachiie sisiWakuuu shikamooo wakubwaaa!!!
Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.View attachment 821887
Ukiwa mlevi ukifikia hali kama hii mbaya sana!!! Unaweza kupata madhara makubwa sana bora umrudie mungu mapema... Maana huu ni ugonjwa mkubwaWakuuu shikamooo wakubwaaa!!!
Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.View attachment 821887
siku utakayolewa na wahuni wakakushikisha ukuta ndio siku ambayo pombe utaiacha mwenyeweWakuuu shikamooo wakubwaaa!!!
Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.View attachment 821887
Kumbe we ndo uliacha pombe hivooo???siku utakayolewa na wahuni wakakushikisha ukuta ndio siku ambayo pombe utaiacha mwenyewe
Tatizo sio kuwa mnywaji tatizo hunywi kwa akili,unakunywa hadi ujielewi huko ni kujidharirisha,Kunywa kwa kihasi