Wapendwa, nifanyeje niache POMBE?

*MRC Tanzania*

Je! Una tatizo la utumiaji wa pombe au mihadarati

Je! mtoto au mwenza wako ana tatizo la ulevi na utumiaji wa mihadarati

Kwa huduma ya usaidizi wa kuachana na utumiaji wa pombe na dawa nyingine za kulevya unaweza kujaza form ya maombi kupitia link hapa chini

*KIGAMBONI SOBER HOUSE* Tuko kwa ajili ya kukusaidia wewe, Mwenza wako, Mtoto au ndugu yako

Piga simu *+255 742 550 551*

au *+255 655 056 382*
*Bofya hapa*👇🏽

KIGAMBONI SOBER HOUSE
 
Ulivyoanza ulikuja kuuliza namna ya kuanza kunywa?
 
Aisee mm nimepunguza sikuhizi, nakunywa ijumaa tu...
Jiweke busy, tafuta hobbies mpya sio lazima kila ukitoka kazin ni bar tu,.
usiende wala kupita sehem hatarishi, kama bar, pub etc.
Wakwepe washkaj ambao unakunywa nao mara kwa mara..
Tafuta kijiwe kipya ukae unywe mwenyewe bila kampan wakat unapunguza dosage taratibu.
anza na haya kwanza
 
Ngoja siku watikise SUMAKU ndio utaacha sw
 
acha kwanza kuvuta bhang, ndo mengine yafuate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…