moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,151
- 2,979
njo ubungo maji tupate bia za mwisho mwisho ndio uache mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile kitu nomaaaSiwezi acha kunywa chuichui
Braza umefanikiwa kuacha ulabu?Wakuuu shikamooo wakubwaaa!!!
Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.View attachment 821887
Kuacha pombe bora niache kuishi
Rudi kwa YesuWakuuu shikamooo wakubwaaa!!!
Naomba ushauri wenu nisaidie niache pombe.View attachment 821887
Ebu acha ushaur wa kijinga mkuu
kwa hyo tusiokunywa sisi ni wafu?Kuacha pombe bora niache kuishi
Kweli kabisa ,kam kufuma vitambaa hujui ,ukiacha utafny kazi gan unafikirKuacha pombe bora niache kuishi
Ebu acha ushaur wa kijinga mkuu
Apa ni mwendo wa ulabu tu ten ndo mwisho wa mwaka ,na tunywe tu hakun namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakwambia nilitoka?!??
Niko responsible kwa nilichokiandika but siko responsible kwa ulichoelewa.kwa hyo tusiokunywa sisi ni wafu?
Ahhahahaha haya ni matusi kwa wasokunywa dadekiiiiKweli kabisa ,kam kufuma vitambaa hujui ,ukiacha utafny kazi gan unafikir
Sent using Jamii Forums mobile app