EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,325
unajua kaka mi siamini kama kweli huyu mama ndiye mwenye watoto wakubwa hivi alafu anajicontradict kama mtoto. Sasa ukawachukua kwa kujitia unaweza kuwa somesha alafu ukaandika namba za baba ili nini? Wewe huna simu? Au bado unajigonga kwake ile hali umeshabwagwa? Nonsense
Labda mama alimpeleka mtoto kwenye shule expensive akaweka namba ya ex wake kwenye form akitegemea kuwa kwa vile ana uwezo atalipa karo ya mtoto? Labda baba alivyopigiwa simu na kuambiwa anatakiwa alipe karo kiasi fulani akaamua kuifutilia na hiyo nafasi kabisa kwa vile hakushirikishwa tokea mwanzo? Just speculation maana mama hataki kutoa info.
Lakini bado haijaniingia akilini baba awaambie watoto kuwa mama yao ni marehemu halafu bado mama aendelee kumwi entertain baba watoto. What for? Hivi huyo baba watoto angekuwa hana uwezo kifedha bado angeandika namba yake kwenye form? Of course, from the outset alichofanya baba watoto sio kizuri lakini asingeweza kufanya alivyofanya for the sake of it. Lazima kutakuwa na sababu ya kufanya vile.