yajutu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 951
- 1,206
Wapendwa poleni na kazi kwa walio kua shift usiku na pia kuwaombea kazi njema kwa walio katika majukumu ya kusaka maisha.
Kama jinsi nilivyo eleza kua naombeni ushauri na pia mwenyewe kujua dawa anisaidie,zimepita miezi 6 tangu niache kufanya mazoezi ya pushap na mengne ya viungo lakin kipindi nafanya mazoezi.
Nilianza kuhisi maumivu ya kifua kipindi nafanya mazoezi nikaamua kuacha lakn tatzo la maumivu limeendelea hasa kipindi nikilala nikiamka tu nahisi maumivu katikati ya kifua lakn mda ukipita kama masaa 3 naacha kuhisi pia hua nakohoa mda mwingne,Mara nyingi kinauma nikilala kwa mda mrefu na maumivu sio makali sana ni yakawaida,naombeni ushauri na mwenyewe kujua dawa aniambie.