Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

Wapendwa wana jamiiforums, mimi ninatafuta kazi ya secretary

Estar Hamisi

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
17
Reaction score
3
Nina elimu ya Diploma. natafuta kazi ya secretarial, NINAOMBA USHILIKIANO WENU ASANTE.
 
Kama hata kuandika unaona sawa kuandika ushilikiano badala ya ushirikiano nadhani hapo hata kwenye interview yangu utakua ushafeli
 
Utapata zaidi uwe na subira upitie jukwaa la kazi
 
Back
Top Bottom