Nchi yetu inahitaji ukombozi kamili ili tuweze kuendelea.
Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa( Vyama vya Upinzani) wamekuwa mstari wa mbele kupigania UKOMBOZI wa Nchi hii.
Niwaombe sana tena sana, msikate tamaa. Kama mjuavyo sisi Watanzania tulio wengi tuna tatizo kubwa la kutokuwa serious kwenye mambo ya msingi.
Hii wakati mwingine inatokana na kukosa uelewa wa mambo(UJINGA).
Kwa nini naomba tusikate tamaa, ni hivi, kama leo utawaambia watu wale wale jambo lile lile siku ya kwanza na ya pili, ukienda siku ya tatu ukawakuta watu wale wale, ukawaambia jambo lile lile watu hao wanaweza kukuelewa kwa kiwango ambacho unaweza kushangaa hata wewe mwenyewe.
Kwa hiyo niombe sana, tusikate tamaa kutuelimisha kuhusu HAKI zetu na mambo mengine hapa Nchini. Kidogo kidogo tunaelewana tu.
Kwa sasa nimeona kuna mwamko mkubwa sana, watu wanaanza kuamka.
Mungu awabariki sana ndugu zetu mmejitoa sadaka kutafuta ukombozi wa kweli wa Nchi hii.