Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah maneno ya kikatiri sana hayaTupeni pesa acheni ubabaifu
Mpaka uwenazo sasa
Kama mnachukua na mwiguru huko benk kuu na mikopo uje utuambie tuwape wapi
ni simpo enheee? ebu zaa wwKwamfano kwa kazi gani wapewe pesa ?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Kuzaaa watoto?
Kwahio tunawatia hela kwa sababu hiyo 😂😂😂ni simpo enheee? ebu zaa ww
Hawajui tu raha ya kuwa na pesa yako.Wengi ni wavivu na wajinga na wanatoka zile familia za wadangaji ambapo mama kawakuza kwa kudanga na ambazo binti akionekana ana kitu cha thamani haulizwi kimetoka wapi bali anafundishwa jinsi ya kupata zaidi.Kuzaa mtoto wa kiume au wakike mwenye mtazamo wa kupewa pesa tu na si mlemavu wa viungo no janga la taifa!
Tangu mwanzo mwanamke aliamka asubuhi na mapema kupalilia mizabibu na kufuma mazulia na kupata mapato mithali 31.
Hawa wa leo wanawaza kupewa pewa lazima wauze coz hawana kingine Cha Lua offer zaidi ya uchi sio!!?
Mwanamke anaenipa penzi kisa nimempa pesa au matunzo Huwa namdharau coz atauza uchi maisha yake yote!!!
Watoto wa kishetani was Leo wanategemea kupewa pewa badala ya ushirika,je nikiichoka una kipi kingine Cha ku offer ambacho kitanishawishi!!?
So sad!
Hee! yamekuwa ayo?Hela zenyewe mnazo sasa mlivyo makapuku[emoji3]
Mkuu unaweza kuwa uko sahihi ila wape kwanza chaoKuzaa mtoto wa kiume au wakike mwenye mtazamo wa kupewa pesa tu na si mlemavu wa viungo no janga la taifa!
Tangu mwanzo mwanamke aliamka asubuhi na mapema kupalilia mizabibu na kufuma mazulia na kupata mapato mithali 31.
Hawa wa leo wanawaza kupewa pewa lazima wauze coz hawana kingine Cha Lua offer zaidi ya uchi sio!!?
Mwanamke anaenipa penzi kisa nimempa pesa au matunzo Huwa namdharau coz atauza uchi maisha yake yote!!!
Watoto wa kishetani was Leo wanategemea kupewa pewa badala ya ushirika,je nikiichoka una kipi kingine Cha ku offer ambacho kitanishawishi!!?
So sad!
Hakuna aliezaliwa ana haki ya kupewa!na nikimpa najua namnunua hata kama watu wanasema ni mke,mchumba n.k!nitamdharau kama bidhaa nyingingine ninavyozinunua!!!Mkuu unaweza kuwa uko sahihi ila wape kwanza chao
ayo mengine tumwachie samia na serekali yake
Kuna mmoja nilikua namuheshimu mno ila siku aliplniuliza "pridah kwa siku unauza sahani ngapi kwenye mama ntilie yako nikajua ni kapuku anataka kunipiga vizinga.Hee! yamekuwa ayo?