Wapeni wanawake pesa, acheni kujiliza

Kuzaa mtoto wa kiume au wakike mwenye mtazamo wa kupewa pesa tu na si mlemavu wa viungo no janga la taifa!

Tangu mwanzo mwanamke aliamka asubuhi na mapema kupalilia mizabibu na kufuma mazulia na kupata mapato mithali 31.

Hawa wa leo wanawaza kupewa pewa lazima wauze coz hawana kingine Cha Lua offer zaidi ya uchi sio!!?

Mwanamke anaenipa penzi kisa nimempa pesa au matunzo Huwa namdharau coz atauza uchi maisha yake yote!!!

Watoto wa kishetani was Leo wanategemea kupewa pewa badala ya ushirika,je nikiichoka una kipi kingine Cha ku offer ambacho kitanishawishi!!?

So sad!
 
Hawajui tu raha ya kuwa na pesa yako.Wengi ni wavivu na wajinga na wanatoka zile familia za wadangaji ambapo mama kawakuza kwa kudanga na ambazo binti akionekana ana kitu cha thamani haulizwi kimetoka wapi bali anafundishwa jinsi ya kupata zaidi.
Wanaamini mauno ni kitu cha maana sana wanachoweza kumuofa mwanaume
 
Mkuu unaweza kuwa uko sahihi ila wape kwanza chao

ayo mengine tumwachie samia na serekali yake
 
Mkuu unaweza kuwa uko sahihi ila wape kwanza chao

ayo mengine tumwachie samia na serekali yake
Hakuna aliezaliwa ana haki ya kupewa!na nikimpa najua namnunua hata kama watu wanasema ni mke,mchumba n.k!nitamdharau kama bidhaa nyingingine ninavyozinunua!!!

Kumpa mtu matunzo Ili awe anakupa tunda ni biashara ya ukahaba hata kama ni ndani ya ndoa!!

Bado naamini katika total football na sio vinginevyo!!
 
Hee! yamekuwa ayo?
Kuna mmoja nilikua namuheshimu mno ila siku aliplniuliza "pridah kwa siku unauza sahani ngapi kwenye mama ntilie yako nikajua ni kapuku anataka kunipiga vizinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…