Wapenzi kutumia mswaki mmoja

Wapenzi kutumia mswaki mmoja

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wapenzi Kuswaki kwa Miswaki ya Wapenzi wao ni Mahaba, Ushamba, Afya Njema au Uwendawazimu?

Nahitaji Majibu yenu Ndugu manake....!!!
 
Ilinitokea one time tulienda tour Mikumi lodge tuliyofikia hawakuweka mswaki nami sikua nimebeba.Nikaambiwa”Babe you can use mine”.
 
Unaogopa kushare mswaki ila unazama chumvini,,, madenda kama yote...

Ukweli hapo hakuna jibu sahihi.
 
Kuna vitu ambavyo sio kila mtu anaweza. Mimi hilo la kushea mswaki linipite tu.
 
Wapenzi Kuswaki kwa Miswaki ya Wapenzi wao ni Mahaba, Ushamba, Afya Njema au Uwendawazimu?

Nahitaji Majibu yenu Ndugu manake.
Kama anayo zaidi ya moja na hajatumia sii dhambi"wapenzi kuswaki na miswaki"
 
Hamna ujanja Wala ushamba sasa ukiogopa kuswaki kupitia mswaki wa mpenzi wako alafu badae unaenda kumlamba mikiss itakua unakimbia nn sasa hapo ?

Tokea Ukonga kwenda Segerea Ndugu.
 
Back
Top Bottom