Wapenzi kutumia mswaki mmoja

Wapenzi kutumia mswaki mmoja

Hamna ujanja Wala ushamba sasa ukiogopa kuswaki kupitia mswaki wa mpenzi wako alafu badae unaenda kumlamba mikiss itakua unakimbia nn sasa hapo ?
Anaruka mkojo afu anakanyaga .....😂
 
Chumvini, mswaki, midenda. Naona kama hakuna tofauti hata jibu silioni hapo😂
 
Back
Top Bottom