MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Havihusiani hataUnaogopa kushare mswaki ila unazama chumvini,,, madenda kama yote...
Ukweli hapo hakuna jibu sahihi.
[emoji23]Ilinitokea one time tulienda tour Mikumi lodge tuliyofikia hawakuweka mswaki nami sikua nimebeba.Nikaambiwa”Babe you can use mine”.
Kama anayo zaidi ya moja na hajatumia sii dhambi"wapenzi kuswaki na miswaki"Wapenzi Kuswaki kwa Miswaki ya Wapenzi wao ni Mahaba, Ushamba, Afya Njema au Uwendawazimu?
Nahitaji Majibu yenu Ndugu manake.
Hamna ujanja Wala ushamba sasa ukiogopa kuswaki kupitia mswaki wa mpenzi wako alafu badae unaenda kumlamba mikiss itakua unakimbia nn sasa hapo ?