Wapenzi na wanachama wa Simba tunaomba jibu kwenye hili

Wewe ndiye mbumbumbu, ungekuwa na afya nzuri kiakili ungeleta hapa mjadala wa ushindi mnono tulioupata kile sauzi jana.

Mie nataka tu useme ukweli je umehamia mikia fc msimu huu?
Sikushangai sababu umeanza kunifahamu tarehe 7 May 2024.
 
Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88 Chasambi anaifungia Simba goal la ushundi. Je kuna Chasambi wangapi Simba?
Tangu lini uliwahi kuwa Simba?
 
Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88 Chasambi anaifungia Simba goal la ushundi. Je kuna Chasambi wangapi Simba?
Kwa sasa cha muhimu ni matokeo hata kwa email tutapokea tu.
 
Back
Top Bottom