Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
- Thread starter
-
- #21
Sikushangai sababu umeanza kunifahamu tarehe 7 May 2024.Wewe ndiye mbumbumbu, ungekuwa na afya nzuri kiakili ungeleta hapa mjadala wa ushindi mnono tulioupata kile sauzi jana.
Mie nataka tu useme ukweli je umehamia mikia fc msimu huu?
Mbona hutaki kujibu swali?Sikushangai sababu umeanza kunifahamu tarehe 7 May 2024.
haha!Shabiki au ni mwanachama!!?
Kama mwanachama kadi mwisho lini kulipia?
KAZI ni kipimo cha UTU
Achana nayo. Hamia KMC au Mashujaa kabisa!Yaani Chasambi alifanyiwa Sub off halafu akarudi tena uwanjani kufunga ๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
Hii timu ya kitapeli qmmmke kila kinachofanyika usaniii tu ๐ฎ
Tangu lini uliwahi kuwa Simba?Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88 Chasambi anaifungia Simba goal la ushundi. Je kuna Chasambi wangapi Simba?
Kwa sasa cha muhimu ni matokeo hata kwa email tutapokea tu.Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88 Chasambi anaifungia Simba goal la ushundi. Je kuna Chasambi wangapi Simba?