Wapenzi na wanachama wa Yanga shime, tukatoe maji uwanja wa "Kaunda" muda huu

mwembemdogo

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
2,282
Reaction score
1,252
Nipo uwanja wa wa kimataifa YANGA Kaunda Stadium hapa Jangwani.Jamani hali ya uwanja ni mbaya maji yamejaa na kuna kundi kubwa la mbuzi wanaranda randa uwanjani shime, shime. Njooni tuyatoe maji yatauangusha uzio uliobaki. Mwenyekiti wetu Yusuf Manji na viongozi wenzako tembeleeni.

Ni aibu kwa klabu ya kimataifa kumiliki uwanja wa aina hii.
 
Ayaaa mnataka kuhamisha na magoli.. Hebu mashabiki tujitokeze kulinda rasilimali za klabu yetu. Tusije kusingizia tulikosa uwanja
 
Jamani jamani narudia tena wanayanga Maji yatahamisha raslimali za klabu twendeni tukaokoe hata jezi
 
Sijui hata kama unajua kimefanyika kitu gani leo huko GEZA ULOLE mtakaa kimya sooon,nimekudodosea tu fuatilia km ulivyofuatilia hili NYUMBU FC ww
 
Wa matopeni utamjua tuuu,umeskia ya kigamboni? Mwenyekiti ashafanya yake.
 
Hawezi kujua yeye kakariri hapo kumbe watu washafanya yao gezaulole eka 715.
 
Habari zilizoenea hapa mujini ni kwamba.....


BINGWA MTETEZI, BINGWA MARA 2 MFULULIZO WA VPL, BINGWA WA KIHISTORIA MARA 26 WA LIGIKUU TANZANIA BARA...... YAANI DAR ES SALAAM YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB MPAKA MUDA HUU INAMILIKI ENEO AMBALO LINA UJUBWA MARA 2O ZAIDI YA KILE KIWANJA CHENU KULE BUNJU..

Boss MANJI [HASHTAG]#HAPENDAGIUJINGA[/HASHTAG].
 
Itakuwa klabu ya kwanza duniani kuwa na uwanja karibu na bahari si ajabu timu kubwa kama barca na nyingine kuja kuweka kambi za pre season
 
Hapo sato na kambale hawakosi,yule mdosi Manji Si alisema ataujenga huo uwanja?,au zuga time?..
 
Mnatongozwa tu hapo kama demu akishakula mzigo hamna chenu tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…