mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nipo uwanja wa wa kimataifa YANGA Kaunda Stadium hapa Jangwani.Jamani hali ya uwanja ni mbaya maji yamejaa na kuna kundi kubwa la mbuzi wanaranda randa uwanjani shime, shime. Njooni tuyatoe maji yatauangusha uzio uliobaki. Mwenyekiti wetu Yusuf Manji na viongozi wenzako tembeleeni.
Ni aibu kwa klabu ya kimataifa kumiliki uwanja wa aina hii.
Ni aibu kwa klabu ya kimataifa kumiliki uwanja wa aina hii.