Wapenzi....niliwakosa sana

Wapenzi....niliwakosa sana

Umevaa mgolole Wa rangi gani na umekaa kufashi ya wapi?
 
bado ngoja nikazisome saa hii.....njoo basi hapa Calabash tubinjue w/end

Ha ha aaa!
Usinifanye nipaliwe na haya maji ya dhahabu, kwa kugeuza shingo kama feni mbovu. Nipo hapa kwenye kiwanja hiki hiki, kama vip nijulishe upo pande gani nikuchezeshee mvinyo.

Welcome back madame Preta.
 
Nimegonga baby walker aka vitz hapa ubungo.....ngoja niseto Nao noje hapo.
 
Ha ha aaa!
Usinifanye nipaliwe na haya maji ya dhahabu, kwa kugeuza shingo kama feni mbovu. Nipo hapa kwenye kiwanja hiki hiki, kama vip nijulishe upo pande gani nikuchezeshee mvinyo.

Welcome back madame Preta.

asante sana, bahati mbaya nimeshahama venue
 
hiyo umetoana nayo wapi tena huko...well nimeshahama niko brajec huku

haya mama angalia usihame hame sana wasije sema unatafuta.........! Si unajua tena mida hii ni ya wenyewe... kule Jori clu ha ha haaa!
 
Preta
sijui kama wanfaham. ila nakuonaga hapa ukijilaza kifulifuli
 
Karibu tena nafikiri wanaosema walikumiss najua ni kwa sababu ya hiyo avatar
 
Back
Top Bottom