Wapenzi wa CHADEMA ndio kundi la watu wenye hasira sana kwa sasa

Umekuwa reference nzuri sana ya hii mada
 
Where is Azory Gwanda, Where is Ben Saanane? Where is Mawazo, What can ou say about dead bodies in the nylon sacs at Coco Beach? (Maiti za sandarus coco beach) etc etc. Kwanini wasiwe na hasira?
Jambo lingine baya zaidi ni hili la kurusha tuhuma ovyo zisizokuwa na ushahidi .
 
HawaHaeaH
Hawa wanahasira ya kutaka kuona Uhuru ,haki na maendeleo vinatamalaki kwa vitendo na sii kwa maigizo.
 
Ninahisi ni wale tuokuwa tunasema sio wazalendo ktk kinda chote cha miaka mitano.
Na wengi wao ni wale waliokosa ajira au kukutana na madhila yoyote kutoka ktk changu kipya
 
Ninahisi ni wale tuokuwa tunasema sio wazalendo ktk kinda chote cha miaka mitano.
Na wengi wao ni wale waliokosa ajira au kukutana na madhila yoyote kutoka ktk changu kipya
Uzalendo upo wa Aina mbili uzalendo halisi na uzalendo maslahi.
 
Mnafanya mambo ya kipuuzi halafu mnataka tuwachekee! Mimi siyo chadema, ila nina hasira kali sana na nyinyi CCM kwa kutonipandisha daraja tangu mwaka 2015, kisa eti mnanunua ndege!

Hiyo ndege mimi inanisaidia nini!

ajira yako inasaidia nini hapa jukwaani!!!

tizama mambo kiujumla sio kibinafsi namna hiyo.
 
ajira yako inasaidia nini hapa jukwaani!!!

tizama mambo kiujumla sio kibinafsi namna hiyo.

Katika maisha hakuna mambo ya kiujumla! Kila kundi lina wajibu wa kupambania haki yake! Ulishawahi kumuona mfanyabiashara akimpigania mfanyakazi? Au mfanyakazi kumpigania mkulima?

Sasa kinachokushangaza wewe ni kitu gani kwa mimi mfanyakazi kumchukia magufuli na serikali yake ya ccm kwa kuto nitimizia haki zangu za msingi?
 

kama ni hivyo mkuu unakosea kuwajumlisha ccm wote maana kila mtu ana msalaba wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…