Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Za kuangalia wengi hizo mchana kweupeee! Ucku noma.
 
604fe25da2c636d0eeed778086d9552e.jpg

Hii ngoma sijui itakuwaje dadeki cz haya maclowns nayaogopa tangu nikiwa mdogo baada ya kusoma novel ya Stephen King na kuzitazama series zake walizokuwa wakionyesha ITV miaka ya 90s.
 
abbd9d773aab6167b259dcba6f873b98.jpg

Friday the 13th reboot., hahaaa mwaka huu raha sana.
Jason Voorhees is back.
 
Back
Top Bottom