Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Mbona wajameni mmeisahau Hostel nayo ni moto wa kuotea mbali
 
033850f71c42ab381cfa411f96031350.jpg
e43148b3b9a6551d5977ad4a8075a37f.jpg
6c8558558b9c4255e76952818fb3df04.jpg

Japo mimi sio mpenzi wa movie lakini hizi ni kati ya movie zinazotisha sana

Ongezea na ya kwako.......
Weee kuna Mziki unaitwa THE CONJURING
 
Sasa ile Conjuring 1 nliangalia na madogo zangu usiku ule palilalika kwa shida sana mpaka leo ule mzigo upo kichwani..
 
Sasa ile Conjuring 1 nliangalia na madogo zangu usiku ule palilalika kwa shida sana mpaka leo ule mzigo upo kichwani..
Ila ndo inavyotakiwa Movies za kutisha angalia usiku ndo unaenjoy. Ile kimoyo kinadunda dunda mpk raha.
 
Back
Top Bottom