Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Mbona wajameni mmeisahau Hostel nayo ni moto wa kuotea mbali
 
Sasa ile Conjuring 1 nliangalia na madogo zangu usiku ule palilalika kwa shida sana mpaka leo ule mzigo upo kichwani..
 
Sasa ile Conjuring 1 nliangalia na madogo zangu usiku ule palilalika kwa shida sana mpaka leo ule mzigo upo kichwani..
Ila ndo inavyotakiwa Movies za kutisha angalia usiku ndo unaenjoy. Ile kimoyo kinadunda dunda mpk raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…