Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

HAYA MA-MOVIES YANALENGA KUONDOA HOFU YA KUFANYA MAOVU HASA MAUAJI.
 
hamna shida yakikukuta wenzako nao watakua washaangalia hayo mamuvi, hawatakuonea huruma
Huruma ya nini sana wakati ata wakiniacha nitakufa tu mimi naamini kila kitu katika maisha yangu kimepangwa na Mungu na lazima nipitie mimi kufanyiwa ukatili wala sitojali chochote
 
Huruma ya nini sana wakati ata wakiniacha nitakufa tu mimi naamini kila kitu katika maisha yangu kimepangwa na Mungu na lazima nipitie mimi kufanyiwa ukatili wala sitojali chochote
duh we noma mi siangaliagi hayo madudu
 
Ni movie gani kali na yakutisha ambayo ukiitazama lazima moyo udunde. Nimeitazama hii inaitwa The inter the breed kwakweli hii movie nimeona kidogo imenitisha.

Mimi ni mpenzi wa movie zakutisha.

Naombeni mnifahamishe zingine kali.
 
Ni movie gani kali na yakutisha ambayo ukiitazama lazima moyo udunde
Nimeitazama hii inaitwa The inter the breed kwakweli hii movie nimeona kidogo imenitisha

Mimi ni mpenzi wa movie zakutisha
Naombeni mnifahamishe zingine kali
Kutisha vp mkuu??
Jaribu JIGSAW!
 
Hizi ndio movies kali za kutisha ambazo zimewahi kutoka, kama ni muoga usiangalie [emoji4]

1. Amityville Possession 1982


2. End of Days 1999


3. The conjuring 1,2


4. Drag me to Hell 2009


5. The nun 1,2

6.Woman in black


7. House of Wax

8. Texas Chainsaw massacre

9. Jeepers Creapes 2, 2003

10. Annabelle Creation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…