Hizi horror movie nilikua nazipenda Hatari mpaka wenzangu wakawa wananishangaa nawezajee kuziangalia.....
Kilichokuja kunifanya nikazichukia na kuacha kabisa ni hizi wrong turn aisee.... Mpaka leo nimekua mtu mwoga mno yaani zimeni affect psychologically kulala mwenyewe kwenye mazingira mageni ni shida, kutembea au kutoka au kurudi usiku kwangu ni mwiko labda niwe company.
Sikuiz ni mwendo wa animation tu na comedy staki Stress kabisa
Haya mamuvi yanakujaga na mapepo sometimes..... Yaan sina ham nayo [emoji3][emoji3]