Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Wapenzi wa Filamu za Kutisha (Horror Movies)

Napenda sana horror asee. Na raha yake uitazame usiku [emoji23][emoji23]

Mosi, INSIDIOUS chapter zote.

Pili, THE CONJURING

Tatu, THE WAILING

Nne, IT

Tano, THE WITCH

Sita, DONT BREATHE

Saba, THEY LOOK LIKE PEOPLE
 
Dont breath nayo haitishi ,,hyo The Conjuring 2,ndo kiboka
 
Saw kiboko ile dah
Hiyo SAW cd yake niliinunua nikaangalia part 1 kuna pale jamaa mmoja black sijui anavunjwa vunjwa shingo changanya na kiuno miguu mikono na limashine nikaishia hapo hapo,niliingiwa wenge nikaitoa cd nikaivunja hata nilikoitupia sikumbuki.

Mambo gani yale hata kama ni movie nyengine wanazidisha mbwembwe aisee.
 
Hiyo SAW cd yake niliinunua nikaangalia part 1 kuna pale jamaa sijui anavunjwa vunjwa shingo changanya na kiuno miguu mikono na limashine,niliingiwa wenge nikaitoa cd nikaivunja hata nilikoitupia sikumbuki.

Mambo gani yale hata kama ni movie nyengine wanazidisha mbwembwe aisee.
Hahahah ndo movie yenyew hyo mkuu,, imagine unacheki peke yako halafu usiku kama saa 5 hv,, unachek yule jamaa anavyovunjwa vunjwa vle hahah
 
Hizi horror movie nilikua nazipenda Hatari mpaka wenzangu wakawa wananishangaa nawezajee kuziangalia.....

Kilichokuja kunifanya nikazichukia na kuacha kabisa ni hizi wrong turn aisee.... Mpaka leo nimekua mtu mwoga mno yaani zimeni affect psychologically kulala mwenyewe kwenye mazingira mageni ni shida, kutembea au kutoka au kurudi usiku kwangu ni mwiko labda niwe company.

Sikuiz ni mwendo wa animation tu na comedy staki Stress kabisa

Haya mamuvi yanakujaga na mapepo sometimes..... Yaan sina ham nayo [emoji3][emoji3]
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom